Ectopic Pregnancy (Mimba Kutunga Nje ya Mfuko wa Uzazi) ni mwongozo unaoeleza kwa lugha rahisi na ya kitaalamu kuhusu tatizo hili linaloweza kuhatarisha maisha ya mwanamke. Utajifunza maana ya ectopic pregnancy, sababu zake, dalili za awali, namna inavyogunduliwa, matibabu yanayopatikana, madhara yanayoweza kutokea, na jinsi ya kupunguza hatari ya kutokea kwake. Mwongozo huu unafaa kwa wanafunzi wa afya, wahudumu wa afya, na kila mwanamke anayependa kuongeza uelewa kuhusu afya ya uzazi.